Muimbaji wa nyimbo za injili afariki akitumbuiza jukwaaji

Muimbaji wa nyimbo za injili afariki akitumbuiza jukwaaji

Muimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Brazili, Pendro Henrique mwenye umri wa miaka 30 amefariki dunia akiwa jukwaani wakati anatumbuiza

Muimbaji huyo amedondoka ghafla akiwa anaimba wimbo wake uitwao "Vai Ser Tai Lindo" hata hivyo baada ya tukio hilo alikimbizwa hospital ambako ndiko walithibitika kifo chake.

 Pendro aliwahi kufanya nyimbo kama ‘Deus Está Cuidando’, ‘Descendência’, ‘Tempo de Colher’ na nyingine nyingi
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags