Cr7 aongoza kutafutwa Google

Cr7 aongoza kutafutwa Google

Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al Nassr Cristiano Ronaldo, siyo tu anaongoza kwa kufuatiliwa zaidi kwenye mtandao wa Instagram pia ni mchezaji ambaye anaongoza kutafutwa zaidi kwenye mtandao wa Google duniani kwa mwaka 2023.

Kufuatiwa na ripoti ya Google nyota huyo wa Ureno anaonekana kufuatiliwa na watu milioni 119.4 kwa mwaka 2023, huku nafasi ya pili ikichukuliwa na Neymar ambaye alitafutwa na watu milioni 140.9, na nafasi ya tatu ikichukuliwa na Leonel Messi akitafutwa na watu 104.4.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags