Mkubwa Fella: Walisema nitafeli kwenye muziki

Mkubwa Fella: Walisema nitafeli kwenye muziki

Meneja wa wasanii na diwani wa Kilungule #MkubwaFella amefunguka kuhusu safari yake kwenye muziki kama meneja kwa kusema marafiki zake walisema atafeli kwenye muziki.

Fella ameeleza kuwa kipindi ambacho alianza kusimamia wasanii katika muziki alikutana na changamoto nyingi ikiwemo kukatishwa tamaa na baadhi ya watu wake wakaribu.

Hadi sasa amefikisha miaka 23 akiwa kama msimamizi wa wasanii. Mkubwa Fella ni msimamizi wa Yamoto Band na lebo ya WCB.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags