Aliyekuwa meneja wa Facebook akiri kutumia hela za kampuni kula bata

Aliyekuwa meneja wa Facebook akiri kutumia hela za kampuni kula bata

Aliyekuwa Meneja wa programu za Facebook, Barbara Furlow-Smiles, akiri kosa la ulaghai baada ya kuiba zaidi ya dola 4 milioni kutoka kwa kampuni hiyo ya mtandao wa kijamii.

Taarifa hiyo ilitolewa na mwanasheria wa kampuni hiyo kutoka nchini Marekani Ryan K. Buchanan kwa kueleza kuwa Barbara alikiri kosa hilo kwa kueleza kuwa alitumia pesa hizo kuendesha maisha yake ya kifahari aliyokuwa akiishi California.

Waendesha mashitaka wanasema kuwa Furlow-Smiles alifanya malipo kwa niaba ya Facebook kwa marafiki, jamaa na washirika wengine kwa bidhaa na huduma ambazo hazikutolewa kwenye kampuni hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags