Man City yahofiwa kuizuia Madrid kuchukua ubingwa

Man City yahofiwa kuizuia Madrid kuchukua ubingwa

Meneja wa ‘soka’ kutoka nchini #Italia, #CarloAncelotti aitaja ‘timu’ ya #MachesterCity kuwa ndiyo inaweza kukipa changamoto kikosi chake cha #RealMadrid kushinda ‘Ligi’ ya Mabingwa taji la #UEFA Champions League msimu huu.

Madrid licha ya kunyakua ubingwa wa UCL mara 14, ila msimu uliopita waliondolewa na Manchester City ya Kocha Pep Guardiola, ambao walifanikiwa kutwaa taji lao la kwanza.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags