Rapa Flocka amfananinisha Doja Cat na Madonna

Rapa Flocka amfananinisha Doja Cat na Madonna

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Waka Flocka amedai kuwa mwanamuziki Doja Cat ndiye Madonna wa zama hizi akimaanisha kuwa maisha anayoishi ‘rapa’ Doja ndiyo maisha ambayo alikuwa akiyaishi msanii mkongwe wa Pop Madonna.

Flocka amedai hayo kupitia ukurasa wake wa X (twitter) kwa kuuliza swali mashabiki kuwa yeye yuko njia panda anafikiri kuwa Doja Cat ndiye Madonna wa zama hizi.

 

Vipi kwa upande wako unaonaje?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags