Watu 48 wafariki kwa tetemeko la ardhi

Watu 48 wafariki kwa tetemeko la ardhi

Tetemeko la ardhi nchini Japani limesababisha vifo vya watu taribani 48 na kufanya uharibifu katika sehehemu mbalimbali nchini humo.

Inaelezwa kuwa tetemeko hilo lilianza siku ya Jumatatu na kusababisha watu kupoteza maisha na shughuli za kijamii kusimama kwa muda.

Hata hivyo imekuwa kawaida katika nchi hiyo kutokea tetemeko la ardhi mara kwa mara, hata hivyo tahadhari imetolewa kwani kunawezekano wa kuongezeka wa tetemeko hilo siku za hivi karibuni.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags