Talaka yafanya Angelina aache kuigiza

Talaka yafanya Angelina aache kuigiza

Muigizaji kutoka nchini Marekani, #AngelinaJolie ameeleza kuacha kuigiza kwa sababu ya mzozo wa talaka kati yake na aliyekuwa mumewe Brad Pitt.

Mwigizaji huyu mwenye umri wa miaka 48, ameeleza kuwa ataacha kufanya maigizo na kuhama Los Angles hadi pale vita yake ya kudai talaka itakapopata suluhu.

Wawili hao walichumbia mwaka 2005 na kuoana mwaka 2014, lakini walitengana miaka miwili baadaye, ndani ya ndoa yao walibahatika kupata watoto sita.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags