Kocha wa Nottingham akalia kuti kavu

Kocha wa Nottingham akalia kuti kavu

‘Klabu’ ya #NottinghamForest inadaiwa kuwa ipo mbioni kumfuta kazi mwalimu #SteveCooper kufuatia kipigo cha magoli 5-0 dhidi ya timu ya #Fulham kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliopigwa  jana Jumatano.

Pia kuna taarifa kuwa kocha wa zamani wa klabu ya Real Madrid na timu ya Taifa ya nchini Uhispania, Julen Lopetegui anaweza akachukua mikoba ya Cooper.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags