Daktari adaiwa kumuua mama na kumkuiba mtoto

Daktari adaiwa kumuua mama na kumkuiba mtoto

Daktari kutoka nchini Nigeria aitwaye  #DkHagi anashikiliwa na jeshi la polisi kwa  tuhuma za mauaji ya  mwanamke aliyekuwa  mjamzito baada ya kumfanyia upasuaji na kisha kuchukua mtoto wake na kwenda kumuuza.

Inadaiwa daktari huyo alimfanyia upasuaji wa kumzalisha mama huyo mweye umri wa miaka 20 na baadaye kumuua kwa kukusudia.

 Aidha baada ya kutekeleza mauaji hayo inadaiwa kuwa alimwambia ‘nesi’ aifahamishe familia ya marehemu kuwa ndugu yao amefariki kwa ajali ya gari.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags