Diddy tena kwenye tuhuma za ubakaji

Diddy tena kwenye tuhuma za ubakaji

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #PDiddy na wenzake wawili wamefunguliwa mashitaka mapya jana siku ya Jumatano, kwa madai ya kumbaka binti wa miaka 17.

Jarida la Rolling Stones linaeleza kuwa ‘rapa’ huyo na wenzake wawili waliwahi kumbaka binti huyo mwaka 2003 aliyefahamika kwa jina la Manhattan.

Hii inakuwa kesi ya nne 4 ya unyanyasaji wa kingono kwa msanii huyu kushtakiwa mwaka huu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags