Rapa Kodak akamatwa na dawa za kulevya

Rapa Kodak akamatwa na dawa za kulevya

Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani #KodakBlack amekamatwa na Polisi baada ya kukutwa na dawa za kulevya aina ya #Cocaine pamoja na mashtaka mengine zaidi.

'Rapa’ huyu si mara ya kwanza kudakwa na dawa za kulevya, mwaka jana alikutwa akisafirisha dawa hizo aina ya "Oxycodone" zaidi ya vidonge 30. pia 2018 alidakwa kwa mashitaka 7, ikiwemo kumiliki silaha kinyume cha sheria, kukutwa na bangi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags