Denis Nkane na wengine wawili kuikosa mechi ya ijumaa

Denis Nkane na wengine wawili kuikosa mechi ya ijumaa

Wachezaji watatu wa ‘klabu’ ya #Yanga wameachwa kwenda katika mchezo wa #CAFCL dhidi ya ‘klabu’ ya #MadeamaSC utakaochezwa nchini Ghana siku ya Ijumaa.

Wachezaji hao walioachwa kwa sababu mbalimbali ni Crispin Ngushi, Denis Nkane na Joyce Lomalisa. Kikosi hicho cha wachezaji 24 kimeanza safari leo Alfajiri na kinaongonzwa na kocha Gamond.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags