Kizz Daniel ajizawadia ndinga

Kizz Daniel ajizawadia ndinga

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel amejipongeza kwa kujinunulia gari aina ya ‘Rolls Royce Cullinan’ akisheherekea kutimiza miaka 10 katika muziki.

Msanii huyo ameyathibitisha hayo kupitia instastory yake baada ya ku-share video za gari hilo.

Kizz Daniel anatamba na ngoma zake mbalimbali ikiwemo ‘Buga’, ‘Cough’, ‘Shu-Peru’, na nyinginezo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags