Kelvin wa home alone atunukiwa tuzo ya heshima

Kelvin wa home alone atunukiwa tuzo ya heshima

Muigizaji mkongwe kutoka nchini Marekani Macaulay Culkin aliyetamba na filamu ya Home Alone ametunukiwa nyota ya heshima ya Hollywood Walk of Fame jijini Los Angeles.

Macaulay alitunukiwa Tuzo hiyo siku ya jana ambapo aliambatana na muigizaji mwenziye Catherine O’Hara ambaye aliigiza kama mama yake katika filamu hiyo.

Home Alone ni filamu maarufu duniani ya christmas ambayo ilitoka mwaka 1990, ambapo Macaulay aliigiza filamu hiyo akiwa na umri wa miaka minne.

Unakumbuka tukio gani kwenye hii filamu?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags