Mzee Abdalla amewasili leo na tayari amefika katika makao makuu ya ‘klabu’ ya #Yanga, Jangwani na kukutana na wazee wa ‘timu’ hiyo.

‘Mechi’ hiyo iliyopewa jina la ‘Bacca Day’ itachezwa saa 1:00 usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam ambapo ‘klabu’ ya Yanga itaingia dimbani dhidi ya Al Ahly.
Leave a Reply