Harmonize na Mr Tabulele waingia studio

Harmonize na Mr Tabulele waingia studio

Baada ya kutua katika jiji la Dar es salaam usiku wa kuamkia leo mwamuziki kutoka #Congo anaetamba #Bongo kupitia wimbo wake wa ‘Tabulele’, sasa msanii huyo tayari amechukuliwa na Harmonize na wako katika studio za #KondeBoy tayari kwa kuachia remix ya wimbo wa ‘Tabulele’.

Msanii huyo amefika nchini kwa lengo la kutumbuiza katika mechi itakayochezwa Jumamosi tarehe 2, katika uwanjwa wa Benjamin Mkapa mchezo ambao utachezwa kati ya #Yanga dhidi ya Al Ahly.

Unadhani nani atamfunika mwenzake katika remix ya ‘Tabulele’?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags