Mchezaji Marcus anusurika kifo

Mchezaji Marcus anusurika kifo

Mchezaji wa zamani wa ‘klabu’ ya #Tottenham #MarcusEdwards amenusurika kifo baada ya kupata ajali wakati akielekea mazoezini akiwa katika gari aina ya Range Rover nchini Ureno katika jiji la Lisbo.

Hata hivyo polisi, zimamoto na maofisa wa afya walikuwa kati ya watoa huduma za dharura wa kwanza kufika katika eneo la tukio, huku ikidaiwa kuwa mchezaji huyo hajapata majera yoyote.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags