Mashabiki wamjia juu kipa wa Man U

Mashabiki wamjia juu kipa wa Man U

Baadhi ya mashabiki wa Manchester United wamemjia juu golikipa, Andre Onana wakidai ndio chanzo cha kutoka sare 3-3 katika mechi ya UEFA dhidi ya Galatasaray.

Katika mitandao ya kijamii mashabiki hao wamedai kuwa Onana hakuwa mchezoni na kuruhusu mabao mepesi ambayo angekuwa makini yasingeingia huku wengine wakisema ni siku mbaya mchezoni.

Yapi maoni yako kwa kiwango chake cha jana.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags