Netflix yaachia reality show ya Squid Game

Netflix yaachia reality show ya Squid Game

Kampuni ya #Netflix imeachia rasmi Squid Game the Challenge ambalo ni onesho la shindano la uhalisia lililohamasishwa na Tamthilia ya #Kikorea ya #SquidGame.

Ambapo washiriki 456 wamejitokeza kushiriki #Game hiyo ambayo mshindi atapatiwa zawadi ya dola 4.56 milioni ambayo ni zaidi ya tsh bilioni 11.

Aidha #Netflix imewatoa wasiwasi mashabiki na washiriki kuwa hata kama itakuwa ni reality show basi haitakuwa kama kwenye movie ambapo walieleza kuwa kama mshiriki atakosa basi itatumika bastola fake kumpigia.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags