Wanamuziki wa Nigeria watamba Ghana

Wanamuziki wa Nigeria watamba Ghana

Mtandao wa kusikiliza muziki wa ‘Apple Music’ kutoka nchini Ghana umetoa orodha ya ngoma 10 bora ambazo zimesikilizwa zaidi nchini humo kwa mwaka 2023 ambapo ngoma zilizoshika chati ni za wanamuziki kutoka nchini Nigeria.

Ambapo kufuatia list hiyo imeonesha kuanzia namba moja mpaka namba kumi ni wasanii wa Nigeria huku namba moja ukiwa ni wimbo wa Asake wa ‘Lonely at the top’ na namba kumi ukiwa ni wimbo wa msanii huyo huyo wa ‘Terminator’.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags