‘Kipa’ Kelleher kuvaa viatu vya Becker

‘Kipa’ Kelleher kuvaa viatu vya Becker

Kocha wa ‘klabu’ ya #Liverpool #JurgenKlopp amethibitisha kukosekana kwa mlinda mlango #AllisonBecker kwa wiki kadhaa baada ya kupata jeraha la misuli ya paja katika mchezo uliochezwa siku ya Jumamos dhidi ya #Manchester City.

Hivyo mlinda mlango #CaoimhinKelleher atakuwa langoni katika mchezo wa leo wa EUROPA League dhidi ya ‘timu’ ya #LASK na michezo kadhaa inayofuata.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags