Akiri kupata tsh bilioni 15 kwa njia ya udukuzi

Akiri kupata tsh bilioni 15 kwa njia ya udukuzi

Raia mwenye asili ya Nigeria na Uingereza anayefahamika kwa jina la Idris Dayo Mustapha mwenye umri wa miaka 33 amekiri mahakamani kosa la udukuzi wa mitandaoni nchini Marekani.

Inaelezwa kuwa kijana huyo alikutwa na tuhuma hizo za udukuzi kwa kuwadanganya watu mtandaoni na kuiba zaidi ya dola milioni 6 sawa na tsh 15 bilioni kwa miaka 7.

Idris ni kati ya wadukuzi ambao walidukua seva za kompyuta za taasisi za fedha na kufikia taarifa za siri za watumiaji kisha kuhamisha fedha. Pia, walitumia akaunti zilizodukuliwa kufanya biashara ya hisa bila wenye akaunti kujua.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags