Bella amuita Fid studio

Bella amuita Fid studio

Msanii wa hip-hop nchini #Fidq ame-share ‘chati’ zake na msanii #ChristianBella akimuitwa studio kwa lengo la kufanya naye ngoma.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa #Fidq ame-share 'chati' hizo walizochati kutumia mtandao wa WhatsApp ambapo Bella amemtaka #Fid kushiriki kwenye wimbo wake mpya uitwao ‘Tamu’ unaotarajiwa kuachiwa Jumapili ya tarehe 26.

Hii si mara ya kwanza kwa wasanii hao kuachia ngoma pamoja, miaka saba iliyopita #Fidq na #Bella walifanya 'kolabo' ya wimbo uliotambulika kwa jina la ‘Roho’






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags