Kupitia Instastory ya msanii huyo ame-share poster ikionesha anaenda kupiga show katika uwanja huo ikiwa ni sehemu ya ziara yake aliyoipa jina la ‘I Told Them’ show itafanyika June 29, mwaka 2024.

Licha ya uwanja huo kuingiza idadi kubwa ya watu, mastaa mbalimbali wa muziki nchini #Marekani wamewahi kuujaza, akiwemo The Weekend, Ed Sheeran, Tayor Swift na wengineo.
Leave a Reply