Rick Ross awafurahisha wanaoishi mtaa mmoja na bibi yake

Rick Ross awafurahisha wanaoishi mtaa mmoja na bibi yake

Katika sikukuu ya ‘Thanks Giving’ inayofanyika kila mwaka Novemba 23, nchini Marekani, Rick Ross ameitumia kwa kutoa misaada kwa jamii.

Rick Ross ameenda kumtembelea bibi yake na kuungana na familia yake kwa lengo la kupata chakula na kutoa misaada kwa familia zilizopo katika mtaa anapoishi bibi na babu yake.

Si Rick tu pia msanii Quavo naye ameitumia siku hii kwa kutoa misaada kwa familia 300






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags