Quavo atoa misaada kwa familia 300

Quavo atoa misaada kwa familia 300

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #Quavo ametoa misaada mbalimbali kwa familia 300 #Atlanta katika sikukuu ya ‘Thanks Giving’.

#Quavo kupitia taasisi yake ya ‘Huncho Farms’ imetoa misaada hiyo katika sherehe za kitamaduni kutoka Marekani zinazofanyika kila ifikapo Novemba 23.

Aidha Hucho Farms iliambatana na wapishi maarufu ‘Urban Recipe’ kwa ajili ya kuzindua kitabu cha mapishi chenye mbinu mbalimbali za kupika kinachopatikana kupitia ‘Free download’.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags