Shakira na Ramos wazua gumzo mitandaoni

Shakira na Ramos wazua gumzo mitandaoni

Mchezaji wa ‘klabu’ ya Sevilla FC, Sergio Ramos amezua gumzo mtandaoni baada ya kumkabidhi mwanamuziki Shakira Tuzo ya Latin Grammy, aliyoshinda ya wimbo bora wa mwaka. Tuzo hizo zilizotolewa jana Novemba 17 huko Seville.

Licha ya idadi kubwa ya waimbaji maarufu wa kike kuhudhuria tukio hilo lakini ilikuwa tofauti machoni mwa watu kwa Ramos, huku baadhi ya mashabiki wakiwahusisha wawili hao kutoka kimapenzi. Huku mashabiki wakiwatazamia tofauti kufuatia na pozi walizoweka katika picha walizopiga baada ya kupokea Tuzo hiyo.

Tuzo za Kilatini za Grammy za mwaka 2023 zilifanyika mara ya kwanza Sevilla, jiji maarufu nchini Uhispania, ambapo Shakira alifanikiwa kuondoka na tuzo tatu.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post