‘Rapa’ #MeekMill ameweka wazi kuwa na yeye atafuata nyayo za msanii #SnopDogg baada ya kutangaza kuacha kuvuta sigara.
Ikiwa ni dakika chache tangu msanii #SnopDogg kuweka wazi suala hilo ‘rapa’ huyo kupitia mtandao wake wa #X ametangaza kuacha kuvuta sigara kutokana na daktari wake kumwambia ana tatizo la #emphysema ambalo linaweza kuhatarisha maisha yake.
Huku akisistiza kuwa kama itashindikana kuacha kuvuta sigara akiwa #Marekani, basi atahamia hata #Dubai ili kufanikisha suala hilo.

Leave a Reply