Diddy na Cassie wamalizana

Diddy na Cassie wamalizana

Ikiwa imepita siku moja toka mwanamuziki na muigizaji kutoka nchini Marekani #Cassie kumtuhumu mkali wa R&B #Diddy kumfanyia ukatili wa kingono hatimaye wawili hao wamemaliza tofauti zao kisheria.

Inadaiwa kuwa wawili hao walifikia makubaliano siku ya jana Ijumaa Novemba 17, kusuluhisha suala hilo kwa amani, huku makubaliano hayo yakiwa ya siri.

#Cassie alimtuhumu #Diddy kuwa aliwahi kumfanyia ukatili wa kingono kwa zaidi ya miaka 10 walipokuwa na uhusiano wa kimapenzi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags