Mchezaji maarufu duniani Leonel Messi amewashangaza wadau wengi wa mpira baada ya kuona mchezaji huyo bado ana ‘tattoo’ ya nembo ya ‘klabu’ ya Barcelon...
Nyota wa ‘klabu’ ya Inter Miami, Messi amefunguka na kueleza kuwa ‘timu’ aliyokuwa akiichzea hapo awali ya PSG haikumpa heshima baada ya yeye kushinda ...
Kampuni ya Google, upande Google map imeshitakiwa na familia ya Philip Paxson baada ya Google Map kusababisha kifo cha ndugu yao huyo aliyekuwa akisafiri kwa kutumia muongozo ...
Wanafunzi wasiopungua 90 wa shule ya msingi Soshanguve iliyopo South Africa, wamelazwa hospitali baada ya kula ‘keki’ zinazodaiwa kuchanganywa na bangi.Kwa mujibu ...
Wadau na mashabiki wa ‘timu’ ya Kaizer Chief kutoka South Africa wamemshambulia ‘kocha’ Molefi Ntseki, baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Super Sport Un...
Kijana Naeem Shahzad mwenye umri wa miaka 35 kutoka nchini Pakstani afunga ndoa na bibi wa miaka 70.
Inaelezwa kuwa wawili hao walikutana katika mtandao wa FaceBook wakati Nee...
Mwigizaji na mtangazaji maarufu kutoka nchini Marekani amevutiwa na performance ya wanasarakasi kutoka Tanzania Ramadhani Brothers, iliyowapelekea kufika hatua ya ‘faina...
Wanasarakasi kutoka nchini Tanzania Ramadhani Brothers wamefanikiwa kuingia hatua ya ‘fainali’ katika shindano la America’s Got Talent msimu wa 18 nchini Mar...
Mkurugenzi Mtendaji wa Adidas Bjorn Gulden, hatimaye akiwa kwenye podcast ya “In Good Company”, amtetea Kanye West kwa mara ya kwanza tangu Adidas isitishe u...
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa mwanamitindo maarufu nchini Miriam Odemba ameweka wazi kuwa amevishwa pete na mpenzi wake, na ni wakati wake sasa kuolewa.
Odemba ameyasema hay...