Billie afunguka kutajwa kwenye wimbo wa Lil Yachty

Billie afunguka kutajwa kwenye wimbo wa Lil Yachty

Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, Billie Eilish amejibu kuhusu mistari ya ‘rapa’ #LilYachty katika wimbo wake wa ‘Another Late Night’, ambapo 'rapa' huyo alisikika katika wimbo huo akizungumzia matiti ya Billie ni makubwa.

Mwanadada huyo akiwa katika mahojiano na Jarida la #Variety ameeleza kuwa Lil alifanya utani katika huo mstari kwani ni rafiki yake licha ya kuwa kweli ana matiti makubwa.

Katika wimbo huo 'rapa' huyo amesikika akiimba ‘She Had Big Tits Like Billie Eilish’, but She Couldn't Sing’

Msanii huyo ametoa wimbo wa ‘What Was I Made For?’ miezi minne iliyopita na umeonekana kupendwa na watu wengi hadi sasa umetazamwa na watu milioni 77 kwenye mtandao wa #YouTube.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags