Yanga yaweka bango njia ya Simba

Yanga yaweka bango njia ya Simba

Baada ya kuifunga ‘klabu’ ya Simba mabao 5-1, ‘timu’ ya Yanga imeamua kuweka bango karibu na uwanja wanaofanyia mazoezi Simba.

Bango hilo lenye matokeo ya mchezo uliochezwa Novemba 5 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, limeweka katika njia ya kuelekea Posta na Tegeta ambako ni karibu na uliko uwanja wa Simba, Mo Arena.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags