Davido ashindwa kujizuia kwa Tems

Davido ashindwa kujizuia kwa Tems

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Davido ashindwa kujizuia kuonesha kuwa amekoshwa na wimbo mpya wa msanii Tems wa 'U & Me'.

Davido kupitia ukurasa wake wa X ame-comment kwenye moja ya chapisho la Tems kwa kuandika kuwa anaupenda na kuukubali wimbo huo.

'U & Me' uliachiwa mwezi mmoja uliopita baada ya kukaa kwa zaidi ya miaka miwili bila kutoa ngoma yoyote.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags