TFF hawana mzaha, Sasa zamu ya Singida FC

TFF hawana mzaha, Sasa zamu ya Singida FC

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewafungia kusajili wachezaji, ‘klabu’ ya Singida Fountain Gate inayoshiriki ‘ligi’ kuu ya NBC kwa kosa la kutomlipa mchezaji wao #NicholasGyan.

FIFA wameifungia ‘klabu’ ya Singida mpaka watakapomlipa aliyekuwa mchezaji wao #NicholasGyan ada ya usajili pamoja na malimbikizo ya mishahara.

Wakati FIFA wakiifungia ‘klabu’ hiyo kufanya usajili wa nje TFF wameifungia kufanya usajili wa ndani mpaka wamlipe Nicholas Gyan.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags