Mchezaji wa Chelsea, Humwambii kitu kwa Man United

Mchezaji wa Chelsea, Humwambii kitu kwa Man United

Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Chelsea, #ColePalmer, amekiri kuwa yeye ni shabiki wa muda mrefu wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, licha ya kuwa anaichezea Chelsea.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 amekiri kuwa licha ya kulelewa katika academy ya Man City, na kuwa mchezaji wa Chelsea, lakini amekuwa shabiki mkubwa wa muda mrefu wa Man United.

 Cole Palmer alijiunga na ‘klabu’ ya Chelsea, akitokea #ManchesterCity amekuwa kwenye kiwango bora sana, baada ya kufanikiwa kufunga mabao manne, na kutoa assist mbili, kwenye michezo kumi, hatua iliyomuwezesha kuitwa kwa mara ya kwanza, na ‘kocha’ Gareth Southgate kwenye kikosi cha ‘timu’ ya Taifa ya #England ya wakubwa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags