Drake na J.Cole kuongozana hatua kwa hatua

Drake na J.Cole kuongozana hatua kwa hatua

Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani #Drake ametangaza ziara ya pamoja na J.Cole ambayo wameipa jina la ‘It’s All A Blur Tour – Big As the What?’ ikiwa ni muendelezo wa ziara yake iliyomalizika mwezi Oktoba mwaka huu.

Ziara hiyo yenye jumla ya maonesho 22, inatarajiwa kuanza Januari 18 na kumalizikia March 27 mwakani ambapo wasanii hao watazunguka miji yote nchi humo.

Ziara hiyo imekuja baada ya wawili hao kufanya ‘kolabo’ ya wimbo wa ‘First Person Shooter’ uliokuwa kwenye albumu ya Drake ya ‘For All The Dogs’.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags