Wasanii wanaotumi dawa za kulevya kukiona

Wasanii wanaotumi dawa za kulevya kukiona

Wasanii wanaotumia dawa za kulevya watakiwa kujirekebisha, kabla hatua juu yao hazijachukuliwa.

Hayo yamesemwa na Aretas Lymo ambaye ni Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti dawa za Kulevya, wakati akizungumza na wanahabari na wahariri.

Aretas Lymo amesema wapo wasanii wanaotumia Cocaine, Heroine na Bangi, na wapo wanaohamasisha matumizi ya dawa hizo hivyo wakithibitishwa sheria itafata mkondo wake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags