Naira Marley na sam waachiwa, kifo cha Mohbad

Naira Marley na sam waachiwa, kifo cha Mohbad

Jeshi la polisi Logos nchini Nigeria limewaachia huru mwanamuziki Naira Marley na promoter wa muziki Sam Larry, baada ya kutimiza masharti ya dhamana ya Naira milioni 20 ambayo ni zaidi ya tsh 59 milioni iliyotangazwa siku ya Jumatatu.

Pamoja na kuachiwa kwa wasanii hao hakimu amewataka kufanya mawasiliano na Idara ya Uchunguzi wa Jinai ya Jimbo kila wiki. Naira Marley na Sam Larry walijikuta kwenye majanga ya kutuhumiwa kwa kifo cha msanii MohBad kilichotokea Septemba 12, kutokana na vitendo na kauli za vitisho walizowahi kumfanyia marehemu kipindi cha uhai wake.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags