16
Sababu ya kifo cha Mohbad bado ni kizungumkuti
Baada ya kusubiri majibu ya vipimo ya mwili wa mwanamuziki kutoka Nigeria Mohbad kwa miezi nane sasa, Daktari Bingwa wa Uchunguzi wa Kisayansi na Patholojia kutoka Hospitali y...
13
Primeboy akamatwa tena, kisa kifo cha Mohbad
Rafiki wa karibu wa marehemu mwanamuziki Mohbad kutoka nchini Nigeria, Primeboy, amekamatwa tena na polisi baada ya kutajwa kuhusiaka katika kifo cha Mohbad.Kwa mujibu wa vyom...
14
Naira amgeuzia kibao muigizaji iyabo kisa kifo cha Mohbad
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #NairaMarley ametishia kumshtaki muigizaji kutoka nchini humo #IyaboOjo kwa madai ya kumchafua kwa kuchapisha habari za uongo kipindi akikabi...
18
Naira Marley na sam waachiwa, kifo cha Mohbad
Jeshi la polisi Logos nchini Nigeria limewaachia huru mwanamuziki Naira Marley na promoter wa muziki Sam Larry, baada ya kutimiza masharti ya dhamana ya Naira milioni 20 ambay...
05
Naira Marley na Sama waswekwa rumande siku 21, Kifo cha Mohbad
Kufuatia uchunguzi unaoendelea wa kifo cha MohBad, taarifa mpya zinaeleza kuwa ‘rapa’ Naira Marley na ‘promota’ wake Sam Larry wameamriwa kukaa rumande...
04
Naira Marley ashikiriwa na polisi kwa uchunguzi, Kifo cha MohBad
Baada ya ‘rapa’ kutoka nchini Nigeria Naira Marley kutoa tamko la kurudi nchini humo kwa ajili ya kusaidia uchunguzi kufuatia kifo cha mwanamuziki MohBad hatimaye ...
26
Kifo cha MohBad kitendawili, ‘Voice note’ yasambaa shuhuda afunguka
Kutokana na kuwepo kwa tetesi za aliyekuwa msanii wa muziki nchini Nigeria MohBad kufikishwa kwenye hospitali ya Perez Medcare aki...
26
Davido anaishi kwa mashaka, Camera zamnasa akikataa chakula
Baada ya siku kadhaa ‘kamera’ kumnasa msanii kutoka nchini Nigeria Davido kukataa maji kwenye maandamano ya kudai haki ya aliyekuwa msanii marehemu MohBad, kwa mar...
20
Wanaigeria waandamana kifo cha Mohbad
Mashabiki na watu mbalimbali wamefanya maandamano nchini Nigeria kufuatiwa na kifo cha aliyekuwa mwanamuziki Mohbad, anayedaiwa kufariki kwa msongo wa mawazo na infection hivy...

Latest Post