Mamelodi yatwaa ubingwa AFL

Mamelodi yatwaa ubingwa AFL

Hatimaye ‘klabu’ #MamelodiSundowns imetwaa ubingwa wa kombe la Afrika ‘AFL’ kufuatia ushindi wa jumla wa 3-2 dhidi ya Wydad Casablanca kwenye ‘fainali’ leo.

‘Fainali’ ya kwanza iliishuhudia ‘klabu’ ya Wydad ikishinda 2-1 nyumbani Mohamed V, Morocco kabla ya Sundowns kushinda 2-0 kwake Loftus Versfeld, Pretoria Afrika na kuandika historia kuwa klabu ya kwanza kutwaa kombe jipya la African Football League.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags