Joeli: Nyimbo zangu zinaondoa stress

Joeli: Nyimbo zangu zinaondoa stress

Mwanamuziki wa nyimbo za #Gosperl nchini, #JoelLwaga amedai kuwa nyimbo zake zinaponya watu na kuondoa stress.

Kufuatia mahojiano yake na moja ya chombo cha habari msanii huyo ameeleza kuwa Mungu ana muongoza katika utungaji wa nyimbo zake na ndio maana zina ponya na kuondoa strees kutokana na ujumbe uliopo kwenye nyimbo hizo.

Ni wimbo gani kutoka kwa Joel ukiuskiliza unakuponya?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post