Chris Brown kuja na surprise za kutosha kwenye 11:11

Chris Brown kuja na surprise za kutosha kwenye 11:11

Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, #ChrisBrown amedai kuwa amewaandalia mashabiki zake Surprise za kutosha katika Album yake mpya ya 11:11 inayo tarajiwa kutoka Novemba11 mwaka huu.

Ameyasema hayo kupita #InstaStory yake kwa kueleza kuwa kwenye album ya 11:11 kutakuwa na #surprise za kutosha na vibe nyingi na za tofauti tofauti ambazo amewaandalia mashabiki zake.

Ikumbukwe kuwa mwanamuziki huyo alishawahi kutoa Album zaidi ya 20 zikiwemo ‘Royalty’, ‘Breezy’, ‘Before the Party’ na nyinginezo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags