13
Ufahamu uwanja uliotelekezwa kwenye msitu mnene Ukraine
Uwanja wa zamani wa Avanhard wa mpira ambao ulikuwa ukiingiza mashabiki 5,000, uliachwa kutumika baada ya maafa ya Chernobyl 1986 kufuatia utafiti uliofanywa hivi karibuni na ...
13
Ifahamu jamii inayokunywa supu iliyochanganywa na majivu ya marehemu
Tamaduni ni nyingi ulimwenguni na nyigine ni za ajabu, lakini pamoja na uajabu wake hugeuka na kuwa kuvutio kwa baadhi ya watu na ...
13
Madebe: Kama una miaka 30 na hauna mtoto umefeli
Mwigizaji wa filamu za Bongo Movie Madebe amedai kuwa ukifika miaka 30 bado ukawa haujapata mtoto basi ‘umefeli’ kwa sababu yeye anaamini sasa hivi kuishi mwisho n...
13
Diamond: Sijawa msanii kwa bahati mbaya, punguzeni uchambuzi
Baada ya baadhi ya watu kumsema vibaya Diamond kuhusiana na wimbo wake wa ‘Shu’ kuwa hautofika mbali wala kufanya vizuri, Simba ameendeleza mashambulizi kwa kutoli...
13
Halep afungiwa miaka minne, Kosa utumiaji wa madawa
Mchezaji wa Tennis na bingwa wa zamani wa Wimbledon, Simona Halep amefungiwa kutokujihusisha  na mchezo huo kwa muda wa miaka minne kutokana na matumizi ya dawa za kuonge...
13
Camera yamnasa Serena akibinua mdomo baada ya Chris Brown kutajwa Tuzo za MTV
Camera zamnasa Serina Gomez akibinua mdomo baada ya jina la Chris Brown kutajwa katika tuzo za MTV siku ya jana kwenye kipengele c...
13
Coy: Sijawahi kuwa na mwanamke wa kitanzania, siumizwi na mapenzi
Mchekeshaji #CoyMzungu amedai kuwa hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke yeyote wa kitanzani wala mzungu. Ameyasema hayo katika mahojiano na vyombo vya habari anaeleza yeye h...
13
Calm Down yaendelea kuwapaisha Rema na Serena Gomez
Kutokana na ngoma ya Rema na Serena Gomez kufanya vizuri duniani kote hatimaye wawili hao wameshinda Tuzo ya MTV katika kipengele cha wimbo bora wa Afro Beats kupitia wimbo wa...
13
Manara: Napenda mpira kuliko ninavyopenda kuoa wadada warembo
Aliyekuwa msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga, Haji Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza hisia zake kuhusiana baada ya kukosa kutazama ‘mechi’ liv...
13
Rema siyo mchoyo awapa shavu, Burna Boy, Wizkid, Fela Kuti, Davido
Baada ya wimbo wa Calm Down Remix kushinda Tuzo ya MTV katika kipengele cha wimbo bora wa Afro Beats nyota wa muziki kutoka Nigeria Rema atoa shukrani kwa waliyo mfungulia mla...
13
Aoa wake 7 kwa mpigo, Huku bibi harusi wawili wakiwa ni ndugu
Mwanaume mmoja ambaye ni mfanyabiashara maarufu kutoka nchini Uganda anayefahamika kwa jina la Ssaalongo Nsikonenne Habib amezua gumzo kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuf...
12
Mfahamu binadamu anayeongozana na kobe wake
Katika ulimwengu kila binadamu huwa na chaguo lake hasa katika ufugaji ndiyo maana kuna wengine hufuga kuku, mbuzi, paka, bata na viumbe wengine. Katika ufugaji wa aina yoyote...
12
Makeke: Wasanii wengi wababaishaji, Hawathamini wabunifu wa mavazi
Mbunifu wa mavazi ya asili nchini, Makeke amefunguka na kutoa sababu ya kuacha kufanya kazi na wasanii wa Tanzania, amedai kuwa wasanii wengi ni wababaishaji na hawathamini ka...
12
Roboti wahudhuria mechi uwanjani, Washitua mashabiki wa soka
Roboti za AI zawashangaza mashabiki wa ‘soka’ baada ya kufika kwenye uwanja wa SoFi katika msimu wa kwanza wa NFL kushuhudia mchezo kati ya Los Angeles Chargers dh...

Latest Post