Video ya Unavailable yaendelea kukimbiza

Video ya Unavailable yaendelea kukimbiza

Video ya wimbo wa ‘Unavailable’ ya mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria, #Davido  imefikisha watazamaji milioni 70 kwenye mtandao wa YouTube.

Video hiyo yenye miezi 6 tangu itolewe imeonekana kupendwa na mashabiki ndani na nje ya Afrika.

Ikumbukwe kuwa wimbo wa ‘Unavailable’ ambao Davido  amemshirikisha Musa Keys kutoka South Africa, ni track namba 5  kwenye albumu ya ‘Timeless’ ya msanii huyo, na video hiyo ilitoka tarehe 11 April 2023.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags