Diamond awapiga chini Burna Boy, Tayler Icu, Asake na Libianca

Diamond awapiga chini Burna Boy, Tayler Icu, Asake na Libianca

Mwanamuzi #DiamondPlatnumz awapiku #Asake, #BurnaBoy, #Libianca na #TaylerICU Dj baada ya kushinda tuzo ya msanii bora kutoka Afrika MTV Europe Music Award 2023.

Si mara ya kwanza kwa Diamond kushinda tuzo hiyo sasa ni mara ya tatu alishinda mwaka 2015,2020 na sasa 2023, huku mwaka huu amewapiga chini wasanii kama #Asake, #BurnaBoy kutoka nchini Nigeria, #Libianca kutoka Cameroon na #TaylerICU Dj wa Afrika Kusini ambao ndiyo walikuwa wapinzani wake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags