‘Set it Off’ yampagawisha Offst, Mwakani tena

‘Set it Off’ yampagawisha Offst, Mwakani tena

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #Offset atangaza ujio wa albumu yake mpya itakayotoka mwakani mwezi Februari baada ya albumu yake iitwayo ‘Set It Off’ aliyotoa hivi karibuni kufanya vizuri nchini Marekani.

Offset amesema hatopoteza muda kutoa albumu nyingine kutokana na albumu yake ya ‘Set It Off’ iliyobebwa na wimbo wa 'set it off' kufanya vizuri na kumpa hamasa ya kuumiza kichwa kwa ajili ya ujio mpya wa albumu ya 2024, ambayo bado hajaweka wazi jina lake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags