Mwanamke aliye kula nauli ya mpenzi wake apigwa faini

Mwanamke aliye kula nauli ya mpenzi wake apigwa faini

Mahakama nchini #Kenya imemuadhibu mwanamke mmoja (jina limehifadhiwa) kulipa faini ya Ksh 40,000 (Sh666,165) baada ya kukutwa na hatia ya kuchukua Ksh 800 (Sh13,332) ya mpenzi wake kwa ajili ya nauli ya kwenda kumtembelea na hakufanya hivyo.

Tovuti ya Tuco ya nchini Kenya imesema kuwa taarifa za faini hiyo zimetolewa na mwanasheria wa mwanaume huyo aliyejulikana kwa jina wakili Egi Nupe.

Kupitia ukurasa wake wa X, Nupe ameandika, “Mwanamke huyo alizima simu baada ya kupokea muamala huo wa nauli kutoka kwa mpenzi wake, jambo lililomchukiza mwanaume na kwenda kufungua kesi mahakamani,”

 

Chanzo: Mwananchi
.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags