Harmonize: Ukinifurahisha nakuchora tattoo, Ukinikasirisha naifuta

Harmonize: Ukinifurahisha nakuchora tattoo, Ukinikasirisha naifuta

Mwanamuziki wa #BongoFleva, #Harmonize amedai kuwa mtu akimfurahisha anamchora tattoo na endapo akimkasirisha basi anafuta tattoo hiyo, Konde Boy ameyasema hayo baada kuonekana amefuta tattoo ya ‘bosi’ wake wa zamani #DiamondPlatnumz.

Akizungumza na waandishi wa habari ameeleza kuwa kuchora tattoo kwake ni jambo rahisi kwani ni utamaduni wa kabila lake na mtu akimfurahisha anamchora tattoo akimkasirisha anakufuta.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags