Ajiua kisa picha zake kusambaa

Ajiua kisa picha zake kusambaa

Meya  kutokea jimbo la Alabama nchini Marekani anayefahamika  kwa jina la #Copeland, amefariki kwa kujiua ‘wiki’ iliyopita baada ya kusambaa picha zake zikimuonesha akiwa amevalia mavazi ya kike na kujipaka vipodozi usoni.

Copeland ambaye pia ni mtumishi wa Mungu (mchungaji) alijiua kwa risasi Ijumaa iliyopita kwa kukwepa aibu hiyo.

Meya huyo aliiomba tovuti iliyosambaza picha hiyo kutokuchapisha picha hizo lakini wahusika wa tovuti hiyo waliamua kuzichapisha, siku mbili baadaye Meya na Mchungaji huyo alikutwa akiwa amefariki.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags